yangu nimeshajenga ili iko sehemu ambayo haijajifichaJenga yako. Hapa mjini nyumba iliyojificha labda nje ya mji acha uchawi wewe.
😛eep: WAKUU HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA NZIMA ILIYOJIFICHA AMBAYO IKO KWENYE MTAA ULIOJIFICHA..KODI YANGU NI LAKI 5 KWA MWEZI...NYUMBA IWE NA PARKING NA UZIO NA IWE IMEJIFICHA
tatizo wateja wa massage huwa wanapenda maeneo yaliyojificha sijui kwaninikwa nini ijifiche, kwani unataka liwe danguro?!!!
maeneo ganiNyumba ipo ila haipo kwenye hayo maeneo uliyoyataja;
Imejificha sana tu;
nadhani uyo si mtu mwema kwanini ajifiche ,kama sio mbeba watu kupeleka mabwepande ,atakuwa mgoni ,huyu dawa yake ipo nyumba mikumi katikati ya mbuga akakae uko mbona ndio imejificha vizuriHivi! Nyumba inaweza jificha, paa lake hata lisionekane, duuu hii kali
​😛eep: WAKUU HABARINI...NATAFUTA NYUMBA ILIYOJIFICHA MAENEO YA MIKOCHENI B,NYUMA YA TANESCO MIKOCHENI,MBEZI BEACH,,,NATAKA NIFUNGUE BIASHARA YA MASSAGE HIVYO NDO MAANA NATAFUTA NYUMBA NZIMA ILIYOJIFICHA AMBAYO IKO KWENYE MTAA ULIOJIFICHA..KODI YANGU NI LAKI 5 KWA MWEZI...NYUMBA IWE NA PARKING NA UZIO NA IWE IMEJIFICHA
okay thanks ,,,ila dah siko instgram..vp yupo fbZama Instgram search dalali wa kike Ndio kazi zake hizoooo....
Upo mkuu........Ile kitu uliipata................?Nyumba ipo ila haipo kwenye hayo maeneo uliyoyataja;
Imejificha sana tu;