MSAADA:Natafuta mkopo wa kilimo.

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Habari zenu ndugu zangu,

Naomba kwenye taarifa zozote kuwa wapi naweza kupata mkopo wa kilimo anisaidie,natafuta kukopa kiasi cha 3mil. Kwa lengo la kuimarisha Shamba la mpunga lililoanza tayari Mkoani Morogoro- Dumila.
Hekari tatu ni umwagiliaji na hekari saba ni kawaida jumla ni Shamba la hekari kumi lisilokuwa mahala pamoja.

Karibuni sana kwa msaada wa taarifa na mawazo.
 
kama moro kuna Equity Bank wanaweza kuwa wa msaada kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…