Ngongoseke JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 3,202 Reaction score 1,464 Jun 22, 2013 #1 Habari zenu wa jf Natumai muwazima wa afya. Naombeni msaada wenu kwa mtu ambae anaju sehem au mahala naweza kupata machine ya film, Inayoprint nailoni kama za mikate au mifuko ya plastic,iwe inatumia computer ndani ya tz au nje, Natanguliza shukraan zangu, Mawasiliano yangu ibrah4real@gmail.com Mobile, +96892321290
Habari zenu wa jf Natumai muwazima wa afya. Naombeni msaada wenu kwa mtu ambae anaju sehem au mahala naweza kupata machine ya film, Inayoprint nailoni kama za mikate au mifuko ya plastic,iwe inatumia computer ndani ya tz au nje, Natanguliza shukraan zangu, Mawasiliano yangu ibrah4real@gmail.com Mobile, +96892321290