beautybrain
Member
- Mar 8, 2016
- 38
- 35
Natumai humu ndani wote ni wazima wa Afya.
Kwa mara nyingine Tena nakuja kwenye jukwaa hili kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itakuwa halali.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, Elimu yangu nina Bachelor of Arts in Sociology,ambayo nimehitimu mwaka Jana.
Uzoefu wa kazi.
nilipohitimu masomo yangu nilibahatika kupata kazi katikati hoteli moja hapa Dar es salaam ambayo ilikuwa chini ya usimamizi wa wachina, ambayo nilikuwa nafanya nafasi ya Receptionist, kazi ambazo niliokuwa nafanya kama zifuatazo;
-kumuandikisha mteja anapofika mfano kumpa fomu ya kujaza na kuskanii passport yake.
-kuandaa na kuchukua malipo kwa mteja.
-kushughulikia malalamiko ya mteja.
-kukamilisha taratibu za kuja na kuondoka kwa mteja.
*sababu ya kutoendelea na hii kazi ni kwamba hotel ilishindwa kuendelea.
Ukiachana na kazi ya receptionist vilevile Nina uzoefu wa kazi ya Insurance Benefit ambazo nilikuwa nafanya kazi kama Insurance Benefit officer, nilikuwa na majukumu yafuatayo;
-Kufuatilia Masai,malipo pamoja na kanuni za matibabu ya bima ya Afya kwa Wateja.
_Kuhifadhi na kudumisha rekodi za mgonjwa katika vituo mbalimbali vya Afya.
_Kuandaa report na rekodi za mgonjwa.
Vilevile katika masomo ya darasa nimejifunza Fani mbalimbali kama guidance and counseling,Social psychology,vilevile nimejifunza principle of human resource Management and administration.
Vilevile Nina uwezo wa kutumia computer application kama vile Ms.words,Excel,PowerPoint and Internet.
NB:nahitaji kazi yoyote Ile hata ya kujitolea ambayo itaweza kunisaidia nauli na kula..ili niongeze ujuzi kuliko kukaa nyumbani.
Ahsante Sana na Mungu awabariki.