Msaada: Natafuta kazi yoyote halali

Msaada: Natafuta kazi yoyote halali

Kichwa kikubw

Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
90
Reaction score
115
Habari waungwana mimi ni kijana mwenye umri 25. Natafuta kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kujikimu.

Nina Elimu ya kidato cha sita ila wazazi wangu wamekataa kata kunisomesha na kwa maana hiyo wanataka niendelee kuwatumikia kuwachungia ng'ombe nawakati mimi sina utayari huo.

Naombeni mnifikirie.
Natafuta kazi, napatikana KILWA~LINDI
 
Natafuta kazi yoyote ambayo ni halali wakuu
Elimu:form six
napatikana kilwa-Lindi
AHSANTENI
 
1. Upo mkoa gani?
2. Unaweza Kufanya kazi zipi?
3. Umri, jinsi, fani yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom