MSAADA,NATAFUTA JEANS HIZI

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
942
896
Habari wakuu,
Naomba mwenye kufahamu anisaidie ni wapi/Chimbo naweza pata jeans hizi au aina zinazoendana na hizi kwa bei ya JUMLA
 
BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam.

Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali.

Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu!

Usipoteze nafasi, ondoa umaskini.

Hatuuzi rejareja kwa sasa

Kwa Maelezo zaidi DM!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…