Msaada: Natafuta charger ya hp laptop

Msaada: Natafuta charger ya hp laptop

shinji

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
262
Reaction score
184
yeyote anielekeze mahali na bei natafuta sana jamani
 
yeyote anielekeze mahali na bei natafuta sana jamani
kama uko dar nenda livingstone street kariakoo za kumwaga sh 50,000 Computer chronical karibu na bank ya NMB
 
zipo kibao kariakoo mimi nimenunua 35000 na haina shida kabisa toka mwezi wa 10 mwaka jana
 
Kuna duka nyuma ya TTCL building mjini, duka linatazamana na kituo cha mafuta, ukifika maeneo yale ulizia tu duka la spea za computer, bei yao ni 65,000 kwa charger na ni original;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom