Mshumaaa Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 156 Reaction score 17 May 9, 2013 #1 Ninarusha picha kwa kutumia cable sasa nahitaji amplifire yenye nguvu zaidi ya niliyonayo. Au kama kuna njia nyingine naweza kutumia ili kufikisha picha vizuri zaidi. Natanguliza shukrani.
Ninarusha picha kwa kutumia cable sasa nahitaji amplifire yenye nguvu zaidi ya niliyonayo. Au kama kuna njia nyingine naweza kutumia ili kufikisha picha vizuri zaidi. Natanguliza shukrani.