Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 941
Salaam wana jf wote
Nimekuwa nasumbuliwa na tatizo la uvimbe sehemu za kwenye korodani ambapo shida mwanzo ilianza muasho sehemu za mapajan,korodani,nikaenda duka la dawa nikapewa dawa ya kupaka lakin shida bado ipo pale pale na kibaya zaidi uvimbe umeanza kwenye korodani kwa pembeni (nitaweka picha)pili kwenye uume kwa juu kuna vidonda vidogo vinakauka pole pole half nikibandua maganda vinakua vinatoa maji
Waswahili walisema mficha mardhi kifo humuumbua nimeona niweke wazi ili nipate msaada wa tiba na kujua shida n nn
Nawakaribisha kwa ushauri