Travis_Kitengo
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 327
- 914
Mkuu, hospital ndio wamenipa miwani ambayo imebadilishwa lens two times lkn no good prognosisNenda hospital
Tatizo niko kijijini huku kupata hizo massage parlour ni ngumu!Mkuu jaribu huduma za massage japo sifahamu zilipo ila ukipata zile professional itakusaidia sana
Masasi zina patikanaTatizo niko Masasi huku kupata hizo massage parlour ni ngumu!
Asante kwa ushauri.Masasi zina patikana
Matambiko mizimu ya kwao una ijuaHiyo ni shida ndogo sana, unahitajika matambiko, nitafute nikupige nyungu...
Embu weka nondo hapa mkuu.Computer yako ina kile kitaa chenye mwanga mwekundu kuwa blue, kinachowaka uiwashapo? Jibu hilo swali
Embu weka nondo hapa mkuu.
Atatambikwa tu itake isitake...Matambiko mizimu ya kwao una ijua
Itakupiga za usoAtatambikwa tu itake isitake...
Ok nadhani uko sure mkuu, maana nilisoma remote sensing kwamba hata kulala karibu na Suboffer muda huo ikiwa on ile miale yake ya blue si mizuri kabisa kiafya.Kile kitaa kikiwaka blue, ile miale yake sio mizuri, itakusababishia kichwa kuuma, mwili kuchoka, na kupelekea hali ya presha ambayo nahisi mleta mada ndio kinachomsumbua (miguu kuwaka moto). Hii hali ilishanitokea; suluhisho ni kukiziba kile kitaa kama hana mbadala wa kitendea kazi kingine zaidi ya hicho.
Itaanzia wapi mbele ya matunguli makubwa kama yangu...Itakupiga za uso