Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na nyonga

Msaada: Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na nyonga

Jphine

Member
Joined
Jan 12, 2021
Posts
5
Reaction score
4
Salaam,

Naomba msaada, nasumbuliwa na tatizo la kiuno na nyonga kuwaka moto. Pia sehemu ya chini ya mgongo. Ni maumivu ambayo yanasababisha muda mwingne nishindwe hata kulala. Naomba kufahamu tatizo linasababishwa na nini na tiba yake.

Shukrani!
 
Mkuu pole sana kwa maradhi yako. Hujatuambia umri wako? Mwanamke au mwanamume? una kilo ngapi? je umewahi kwenda Hospitali kutibiwa?na je hujapona maradhi yako?una muda gani na hayo maradhi yako?na unaishi wapi?
 
Mara ya mwisho ule mchezo uliufanya lini? Usichukulie serious sn napunguza stress za maisha chief
 
Mkuu pole sana kwa maradhi yako. Hujatuambia umri wako? Mwanamke au mwanamume? una kilo ngapi? je umewahi kwenda Hospitali kutibiwa?na je hujapona maradhi yako?una muda gani na hayo maradhi yako?na unaishi wapi?
Umri wangu miaka 35, ni mwanamke. Sijaenda hospital nina wiki moja naona hii hali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom