Msaada nasumbuliwa na maumivu katika visigino nikitembea

mumak

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
1,069
668
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu huwa nasikia maumivu kwa mbali nikitembea mwanzo nilifikili uzito maana nilikuwa na kilo 85 nikajitahidei kupunguza kilo 2 bado nahisi maumivu sijui nitumie dawa gani.
 
Back
Top Bottom