Msaada: Nashindwa kuweka kitkat kwenye simu yangu

Msaada: Nashindwa kuweka kitkat kwenye simu yangu

monroe100

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
38
Reaction score
7
Habari
Natumia Samsung galaxy dous gt19082... nime root vizuri ila kuweka recovery mode ina anza kwa kuniambia NO COMMAND naitaji kuweka kitkat msaada wakuu
 
Kuroot ndo kukoje,msaada jamani,wengine unatumia sphone but hatujui mambo zingine
 
Back
Top Bottom