Msaada: Nashindwa kusearch matokeo kwa index no

money02

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
22
Reaction score
13
Nimefanya transfer ya Chuo cha afya kupitia NACTE lakini kila nikijaribu kusearch result kupitia index no yangu inaandika not found had nitumie username yangu na password
 
Tayari wamenitumia majibu kwenye email yangu. Kwamba nmefanikiwa kuhama chuo lkn nikitumia index no yangu kuangalia inaandika not found
Daah wametuma lini emails, Kuna mdogo wangu aliomba kubadilisha mpaka leo hamna majibu sijui ndio wamemtosa?
 
Nimefanya transfer ya Chuo cha afya kupitia NACTE lakini kila nikijaribu kusearch result kupitia index no yangu inaandika not found had nitumie username yangu na password
Check email address yako wameisha julisha watu toka jana
 
Ok, Basi labda bado wanatuma mkuu.. Mdogo wangu hajapata email mpaka sasa bado
Mmmmhh!! Pole endelea kuvuta Subira japo walisema wanatoa majibu ndani ya masaa 48 yan juz na jana
 
Na kwa yeyote aliyepata uhamisho Chuo cha Rao health collg tujuzane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…