Msaada: Nashindwa kulog-in kwenye simu yangu

Msaada: Nashindwa kulog-in kwenye simu yangu

rojazy

Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Habari wanaJF,

Simu yangu nimefanya reset imekubali vizuri tu ila kwenye kipengele cha kulog in na email napata shida na sielewi nifanyaje. Kila email ninayoweka naambiwa
(please sign in for using one of the owner account of this device).

Naomba msaada wenu, nini kifanyike hapa?
 
downlod browser yoyote mfano....ucbrowser...kisha uitumie hiyo browser kulogin kwenye hiyo email yako
 
unatakiwa ueke email ya zamani kabla huja hard reset.

ipo njia ya kubypass ila inabidi simu iwe na usb otg na uwe na waya wa usb otg na flash.
 
Habari wanaJF,

Simu yangu nimefanya reset imekubali vizuri tu ila kwenye kipengele cha kulog in na email napata shida na sielewi nifanyaje. Kila email ninayoweka naambiwa
(please sign in for using one of the owner account of this device).

Naomba msaada wenu, nini kifanyike hapa?
Unatakiwa uweke email yako ya mwanzo kabla ya phone reset
Pia kama umesahau password ya email yako tafuta device nyingine ufanye password reset then utakapojaribu kulog in kwenye simu yako itakataa usipanic subiri yapite masaa 24 log in tena itakubali bila tatizo.
Kama hujaelewa uliza mkuu
 
Back
Top Bottom