Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
Hahaha pole sanaSehemu yoyote una wasiwasi huwezi kusimamisha ,unatakiwa urelax ,Mimi kuna toto moja shombe shombe nilimpiga mistari tukazeana ,nikimwita kwangu anipe mzigo anataka niende kwake,aliniambia anaishi mwenyewe ,aiseee moyo ulisita ila akili inaniambia ukikosea ndo humpati tena.
Nilienda tukapiga story mbili tatu tukaanza kuvuana nguo ,ile naweka tu jiwe likarushwa kwenye bati ,kudadeki nilishtuka ,mbona ilinywea kama tipu ya baiskeli iliyopata pancha ,nikavaa nguo nikamwambia hapa hapana twende kwangu
Aaah asanteHahaha pole sana
Acha uzinzi mara moja maana ufalme wa Mungu unakaribia.
Umenifurahisha sanaaaYah Mkuu.
PoleNahitaji mnisaidie juu ya hili nimekua napatwa na uoga na hofu wakati wa kufanya mapenzi haswa wakati nakutana na manzi mpya.
Wakati mwingine nikikutana na msichana pisi kali ndo napata uoga kabisa na hofu
Niwaambie kwamba nikiwa na msichana ambaye nilishawahi kufanya nae napiga show kama kawaida na show na magoli ya kutosha tu au nikiwa na msichana ambaye nimeshamzoea inakua sio shida na nguvu ninazo za kutosha na sina tatzo la kiume kabisa.
Ila nikikutana na msichana mpya hiyo siku naingiwa na uoga kinoma, yaani nakua na hofu hadi dushe linalala hii inanisababishia hadi napaniki.
Hili tatizo linanitesa sana siku hizi nashindwa hata nifanyeje maana imefika mahali hata nikiwaza kukutana na msichana mpya yaani naingiwa na uoga na hofu sana kwamba mambo yatakua vile vile tu.
Naombeni msaada wa kudeal na hili tatizo linaninyima raha sana.
Yaani wambea kama hao nawapendaga mno, yaani napta vizuri mno uku tukipiga storiiiNyumba za kupanga unaingiza mtoto ndani unawasha mziki unaanza shoo, Shoo inakolea umeme unakata ghafla unamziba mdomo.
Wakati wa kutoka unakutana na mashemeji wamejipanga kwenye korido.
Hawataamini yaani! Watu wambea ndio dawa yao, ukauzu tu.Nyumba za kupanga unaingiza mtoto ndani unawasha mziki unaanza shoo, Shoo inakolea umeme unakata ghafla unamziba mdomo.
Wakati wa kutoka unakutana na mashemeji wamejipanga kwenye korido.
Alianza kwa Roho na amalize kwa Roho pia.Ulipojoin ulianza vizuriiiiii.
Thread 'Historia ya Ukristo na kuenea kwa neno la Mungu Tanzania' Historia ya Ukristo na kuenea kwa neno la Mungu Tanzania
Tukajua hatimae tumepata Papa Mchungaji mambo yataenda sawa kabisa tutanyooka tukome.
Ghafla bin vuu unataka mbinu za kula mbunye mpya kweli? Dogo taratibu hebu rudi kwenye mstari.
Nahitaji mnisaidie juu ya hili nimekua napatwa na uoga na hofu wakati wa kufanya mapenzi haswa wakati nakutana na manzi mpya.
Wakati mwingine nikikutana na msichana pisi kali ndo napata uoga kabisa na hofu
Niwaambie kwamba nikiwa na msichana ambaye nilishawahi kufanya nae napiga show kama kawaida na show na magoli ya kutosha tu au nikiwa na msichana ambaye nimeshamzoea inakua sio shida na nguvu ninazo za kutosha na sina tatzo la kiume kabisa.
Ila nikikutana na msichana mpya hiyo siku naingiwa na uoga kinoma, yaani nakua na hofu hadi dushe linalala hii inanisababishia hadi napaniki.
Hili tatizo linanitesa sana siku hizi nashindwa hata nifanyeje maana imefika mahali hata nikiwaza kukutana na msichana mpya yaani naingiwa na uoga na hofu sana kwamba mambo yatakua vile vile tu.
Naombeni msaada wa kudeal na hili tatizo linaninyima raha sana.
Zima taa kula gizaniNahitaji mnisaidie juu ya hili nimekua napatwa na uoga na hofu wakati wa kufanya mapenzi haswa wakati nakutana na manzi mpya.
Wakati mwingine nikikutana na msichana pisi kali ndo napata uoga kabisa na hofu
Niwaambie kwamba nikiwa na msichana ambaye nilishawahi kufanya nae napiga show kama kawaida na show na magoli ya kutosha tu au nikiwa na msichana ambaye nimeshamzoea inakua sio shida na nguvu ninazo za kutosha na sina tatzo la kiume kabisa.
Ila nikikutana na msichana mpya hiyo siku naingiwa na uoga kinoma, yaani nakua na hofu hadi dushe linalala hii inanisababishia hadi napaniki.
Hili tatizo linanitesa sana siku hizi nashindwa hata nifanyeje maana imefika mahali hata nikiwaza kukutana na msichana mpya yaani naingiwa na uoga na hofu sana kwamba mambo yatakua vile vile tu.
Naombeni msaada wa kudeal na hili tatizo linaninyima raha sana.
Ama afumbe macho.Fanya maromance kwa muda mrefu ili kuweza kuwa calm kabla ya penetration.
Kwamba ni kondoo kwa nnje ila kwa ndani ni mmbwa mwitu kungwi...Ulipojoin ulianza vizuriiiiii.