Msaada napata maumivu ya pua

Msaada napata maumivu ya pua

hyassin92

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
581
Reaction score
636
Ni siku ya nne sasa, kila nikishika pua upande wa kushoto nasikia maumivu makali mno, nashindwa kuelewa ni tatizo gani kwa kweli.

Msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom