Msaada: Napata maumivu makali wakati wa kukojoa

Nuoxian

Senior Member
Mar 15, 2020
169
237
Nimekuwa nikipata Maumivu makali pindi ninapoenda kukojoa na ikitokea nimechelewa kidogo kwenda kukojoa basi najikuta najikojolea nashindwa katiba kuubana mkojo. Ni siku 4 sasa toka limeanza hili tatizo.

Lakini kitu kikubwa zaid kuanzia jana sio tu nikikojoa mkojo kuuma bali nimeanza na kukojoa damu, msaada mwenye kujua tatizo kama hili.
 
Helo pole sana kukojoa pamoja na damu kuna matatizo kwenye kibofu chako cha mkojo au huenda una mawe kwenye kibofu cha mkojo au mawe kwenye figo nenda hospitali ukapime kwanza ndipo itajulikana unayo maradhi gani? kapime uje hapa utupe majibu yako uguwa pole.
 
Nimekuwa nikipata Maumivu makali pindi ninapoenda kukojoa na ikitokea nimechelewa kidogo kwenda kukojoa basi najikuta najikojolea nashindwa katiba kuubana mkojo. Ni siku 4 sasa toka limeanza hili tatizo.

Lakini kitu kikubwa zaid kuanzia jana sio tu nikikojoa mkojo kuuma bali nimeanza na kukojoa damu, msaada mwenye kujua tatizo kama hili.
Duuh! Mkuu ulikuja kweli kutoa mrejesho wa hospitali?
 
Back
Top Bottom