msaada naomba

benon

Member
Sep 30, 2012
31
14
wadau naombeni mnisaidie jinsi ya ku activate bundle kwenye modem ya voda hizi mpya za saa hivi.
halafu kama kuna msamiria anaweza kunisaidia jinsi ya kuchakachua hiyo modem niweze kutumia line zote. najua wadau mtanisaidia
 
piga *149*01# halafu utachagua Intanet baada ya hapo chagua bundle unayoitaka. Maelezo ya uchakachuzi ni mengi we search humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom