Msaada naomba ufafanuzi kuhusu kipimo cha moyo cha ECHO

Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,400
1,501
Nimeambiwa na Daktari wangu kuwa kuna umuhimu wa kupima kipimo cha moyo cha ECHO.

Sasa sijajua ni Tsh ngapi na kinachukua muda gani kumaliza..kama kuna MTU yeyote anafahamu basi anijuze ahsante!
 
Hicho ni kipimo cha moyo kwa kutumia ultrasound na huchukua muda wa DKK 5 had 15 kutegemeana na msomaji wa ultrasound Na bei zake ni Kati ya Tsh15000-30000 kutegemeana na hospital
 
Hicho ni kipimo cha moyo kwa kutumia ultrasound na huchukua muda wa DKK 5 had 15 kutegemeana na msomaji wa ultrasound
Na bei zake ni Kati ya Tsh15000-30000 kutegemeana na hospital


Kweli kabisa bei zake ni 15,000 kama ni cash lakini kama ni Bima ni 30-35 elf
 
Kandamatope bhana yan yeye anatengeneza ubishi usio na faida mana Anabsha bila kutoa mwongozo
 
Hawajakuambia na ECG, maana vinakuwaga kama mapacha

ECHO&ECG.

Kwa Bugando nadhani ni 60,000/- hivi na ni chini ya dakika kumi.
 
Echo wanapima hospital ya Regence Tshs 600,000
Temeke ilikuwa elfu 80,000 sijui kwa sasa
Amana walikuwa awana
M, nyamala awana

ECG Ndio wanapima amana kwa bei ya 15000

Echo ni kipimo kikubwa wanapima valve za moyo au kama moyo unatundu

ECG wanapima mapigo ya moyo na kama moyo umetanuka
 
Muhmu kidgo kuptia bango hili.
JamiiForums-1112431680.jpg
 
Back
Top Bottom