Ni rahisi kama una wire wa SATA kwenda USB.
Kisha install software inaitwa
AOMEI partition Assistant Standard.
Halafu kwenye upande wa kushoto bonyeza Migrate OS to SSD, japokuwa hapo imeandikwa SSD ila pia inatumika kwa HDD.
Chagua disk yako
Halafu bonyeza Apply then utakuwa umemaliza kuhamisha OS kwenda kwenye disk mpya.