T The_bushman Senior Member Jun 29, 2018 114 105 Apr 23, 2020 #1 Habari humu wakuu, Nina flash yangu imeandikwa HP inasoma kwenye computer tu ,ila ukiweka kwenye deck au tv haisomi, mwenye ujuzi wa kuiwezesha isome kwenyevtv/deck anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari humu wakuu, Nina flash yangu imeandikwa HP inasoma kwenye computer tu ,ila ukiweka kwenye deck au tv haisomi, mwenye ujuzi wa kuiwezesha isome kwenyevtv/deck anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
Ombenichelsea JF-Expert Member Apr 11, 2013 742 1,029 Apr 23, 2020 #2 Labda flash ina format ya NTFS, Jaribu ku-formart iwe FAT as default. Backup data zilizo kwenye flash kwanza kama kuna ulazima then uendelee na zoezi. Sent using Jamii Forums mobile app
Labda flash ina format ya NTFS, Jaribu ku-formart iwe FAT as default. Backup data zilizo kwenye flash kwanza kama kuna ulazima then uendelee na zoezi. Sent using Jamii Forums mobile app