Msaada: Naomba kujuzwa namna ya kuwezesha flash inayosoma kwenye computer tu isome kwenye deck/tv pia

The_bushman

Senior Member
Jun 29, 2018
114
105
Habari humu wakuu,

Nina flash yangu imeandikwa HP inasoma kwenye computer tu ,ila ukiweka kwenye deck au tv haisomi, mwenye ujuzi wa kuiwezesha isome kwenyevtv/deck anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom