Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,412
- 36,560
Asante ๐๐ฟ๐๐ฟ
Anzia kurasini mkuuNaomba msaada kujua sehemu ya kubadilisha pass ya kusafiria ya zamani kwa Dar es salaam, niende Kurasini au Posta pale palipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani?
Natanguliza shukrani.
Naomba msaada kujua sehemu ya kubadilisha pass ya kusafiria ya zamani kwa Dar es salaam, niende Kurasini au Posta pale palipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani?
Natanguliza shukrani.
Nashukuru sana mkuuNi kurasini mkuu, Posta (Wizara ya Mambo ya Ndani) unaenda kuchukua ikiwa tayari.
Nimeongeza tu msisitizo.
Asante kwa busara yakoVijana nyoro-nyoro kila kitu wanataka kutafuniwa. Hawataki shida wao!
Kote wana badilisha nashauri nenda Kurasini.Naomba msaada kujua sehemu ya kubadilisha pass ya kusafiria ya zamani kwa Dar es salaam, niende Kurasini au Posta pale palipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani?
Natanguliza shukrani.
Naomba msaada kujua sehemu ya kubadilisha pass ya kusafiria ya zamani kwa Dar es salaam, niende Kurasini au Posta pale palipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani?
Natanguliza shukrani.
Vijana nyoro-nyoro kila kitu wanataka kutafuniwa. Hawataki shida wao!
Asante kwa busara yako
Nenda ulipochukulia hiyo ya zamaniNaomba msaada kujua sehemu ya kubadilisha pass ya kusafiria ya zamani kwa Dar es salaam, niende Kurasini au Posta pale palipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani?
Natanguliza shukrani.
Asante kwa ushauri mkuu,ila punguza stressNenda kwa mwenyekiti wa mtaa wako,ndani ya nusu saa utakuwa umebadilishiwa.
Je baada ya hizo procedure kuna malipo yoyote kwa Uhamiaji yanayo takiwa ili nibadilishe hii yangu ya zamani?Kama hujaanza prosesi yoyote, fika steshenari inatazamana na geti la uhamiaji, kuna dada anaitea Angel, atakufungulia akaunti na kukusaisaidia kupangilia inavyotakiwa kila kitu kwa dakika chache tu.
Hakikisha una;
1. Id ya taifa au namba
2. Cheti cha kuzaliwa mzazi mmoja au 20k
za affidavit
3. Barua ya mwaliko kwenda nje nk
Sent using Jamii Forums mobile app