Msaada: Naomba kujua sehemu ya kubadilisha passport ya zamani kwa Dar es Salaam

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,269
36,257
Naomba msaada kujua sehemu ya kubadilisha pass ya kusafiria ya zamani kwa Dar es salaam, niende Kurasini au Posta pale palipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani?

Natanguliza shukrani.
 
Naomba msaada kujua sehemu ya kubadilisha pass ya kusafiria ya zamani kwa Dar es salaam, niende Kurasini au Posta pale palipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani?

Natanguliza shukrani.
Kote wana badilisha nashauri nenda Kurasini.

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 
Kama hujaanza prosesi yoyote, fika steshenari inatazamana na geti la uhamiaji, kuna dada anaitea Angel, atakufungulia akaunti na kukusaisaidia kupangilia inavyotakiwa kila kitu kwa dakika chache tu.
Hakikisha una;
1. Id ya taifa au namba
2. Cheti cha kuzaliwa mzazi mmoja au 20k
za affidavit
3. Barua ya mwaliko kwenda nje nk
Asante kwa busara yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa wako,ndani ya nusu saa utakuwa umebadilishiwa.
 
Kama hujaanza prosesi yoyote, fika steshenari inatazamana na geti la uhamiaji, kuna dada anaitea Angel, atakufungulia akaunti na kukusaisaidia kupangilia inavyotakiwa kila kitu kwa dakika chache tu.
Hakikisha una;
1. Id ya taifa au namba
2. Cheti cha kuzaliwa mzazi mmoja au 20k
za affidavit
3. Barua ya mwaliko kwenda nje nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Je baada ya hizo procedure kuna malipo yoyote kwa Uhamiaji yanayo takiwa ili nibadilishe hii yangu ya zamani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom