Chama chetu cha Mapinduzi sasa hakipendwi kama mwanzo wake. Hakiaminiwi kirahisi hata pale kulikokuwa na ngome za chama chetu kama Lindi na Mtwara.Kinalalamikiwa;kinazidi kuchukiwa. Yawezekana kuna tatizo la ki-mfumo...mazoea. Lakini,wapo watu ndani ya chama chetu ambao ndio walezi wa mfumo huo unaosawajisha heshima ya chama chetu. Mkiwa kama watanzania wenye vyama na msio na vyama,ni nani hasa ni tatizo katika CCM yetu? Kwanini? Tusaidieni ili tujirekebishe na kuimarisha chama chetu. Karibuni waungwana! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Tatizo ni uchovu ambao umepelekea fikra zote kugandaChama chetu cha Mapinduzi sasa hakipendwi kama mwanzo wake. Hakiaminiwi kirahisi hata pale kulikokuwa na ngome za chama chetu kama Lindi na Mtwara.Kinalalamikiwa;kinazidi kuchukiwa. Yawezekana kuna tatizo la ki-mfumo...mazoea. Lakini,wapo watu ndani ya chama chetu ambao ndio walezi wa mfumo huo unaosawajisha heshima ya chama chetu. Mkiwa kama watanzania wenye vyama na msio na vyama,ni nani hasa ni tatizo katika CCM yetu? Kwanini? Tusaidieni ili tujirekebishe na kuimarisha chama chetu. Karibuni waungwana! Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
Mwigulu Nchemba ndiyo tatizo. Hivi hizi sare mpya za ccm zimebuniwa lini na nani kaziidhinisha ndani ya chama? Taratibu kwa matatizo ya huyu Bwana mtazamo wa ccm kutoka nje kinaonekana kama chama kinachoendelea na uhamasishaji na maandalizi ya kukuza vulugu.
Tatizo NI KIZAZI CHA PANYA Baba Mwizi, Mtoto Mwizi, Mama Mwizi, Mjukuu Mwizi, Babu Mwizi. Wenye kuibiwa wameshtuka.
Mwigulu Nchemba ndiyo tatizo. Hivi hizi sare mpya za ccm zimebuniwa lini na nani kaziidhinisha ndani ya chama? Taratibu kwa matatizo ya huyu Bwana mtazamo wa ccm kutoka nje kinaonekana kama chama kinachoendelea na uhamasishaji na maandalizi ya kukuza vulugu.