T tinny boy New Member Joined Mar 14, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Apr 28, 2015 #121 Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda?
Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,882 Reaction score 136,798 Apr 28, 2015 #122 We mleta mada biashara ya Madini kukutana na broker ni hali ya kawaida.broker naye ana umuhimu wake, unaweza ukajiona una madini mazuri kumbe kanjanja au unaweza ukawa na madini mazuri usijue bei inayostahili kuyauza
We mleta mada biashara ya Madini kukutana na broker ni hali ya kawaida.broker naye ana umuhimu wake, unaweza ukajiona una madini mazuri kumbe kanjanja au unaweza ukawa na madini mazuri usijue bei inayostahili kuyauza
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,882 Reaction score 136,798 Apr 28, 2015 #123 tinny boy said: Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda? Click to expand... Ziwe kuanzia grm 3 na kuendelea, ziwe zina ona tu, kuhusu inclusion ndani siyo tatizo Bei kg ni 20000/ mpaka 40000/ kwa arusha Dar miyeyeyusho kidogo
tinny boy said: Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda? Click to expand... Ziwe kuanzia grm 3 na kuendelea, ziwe zina ona tu, kuhusu inclusion ndani siyo tatizo Bei kg ni 20000/ mpaka 40000/ kwa arusha Dar miyeyeyusho kidogo
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,882 Reaction score 136,798 Apr 28, 2015 #124 tinny boy said: Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda? Click to expand... Kuna mhindi pia anaweza chukua hapa dar, biashara ya Mawe ni kumwonesha mtu mezani, Muonyeshe sample kwanza alafu mambo mengine badaye
tinny boy said: Msaada tafadhar,nani ananunua almandine\almandite dar es salaam, taja ubora na bei, na vip kuhusu rough inakwenda? Click to expand... Kuna mhindi pia anaweza chukua hapa dar, biashara ya Mawe ni kumwonesha mtu mezani, Muonyeshe sample kwanza alafu mambo mengine badaye
T tinny boy New Member Joined Mar 14, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Apr 28, 2015 #125 mrangi said: Ziwe kuanzia grm 3 na kuendelea, ziwe zina ona tu, kuhusu inclusion ndani siyo tatizo Bei kg ni 20000/ mpaka 40000/ kwa arusha Dar miyeyeyusho kidogo Click to expand... hiyo umetaja bei ya rough au capsion high? naomba kujua tafadhar na arusha soko ni maeneo gan na nani mnunuzi?
mrangi said: Ziwe kuanzia grm 3 na kuendelea, ziwe zina ona tu, kuhusu inclusion ndani siyo tatizo Bei kg ni 20000/ mpaka 40000/ kwa arusha Dar miyeyeyusho kidogo Click to expand... hiyo umetaja bei ya rough au capsion high? naomba kujua tafadhar na arusha soko ni maeneo gan na nani mnunuzi?
T tinny boy New Member Joined Mar 14, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Apr 28, 2015 #126 amathyst inauzwa wap na kwa bei gani? wadau naomba msaada nina kg 5