Msaada: Namtafuta Renata Mapunda

Msaada: Namtafuta Renata Mapunda

Baada ya kuwaonesha baba zangu picha za hao watoto wamekili kwa 99% huenda wakawa ni hao... Ishu ni last activity zao ni miaka 5 ilopita... Na friends zao pia hawajawa active mtandaoni..ila ninapambana..
Pita pia shule/vyuo walizosoma naamini wameweka kunakuaga na yale ma group ya shule hivyo ukimpata classmate mmoja tu anaweza kukupa connection
 
Habarini,

UKOO WETU UNASIKITIKA KUPOTEZANA NA SHANGAZI YETU
Anaitwa RENATA MAPUNDA.

Ni mzee kwa sasa ikiwa bado yu hai (1953au1954 KUZALIWA). NI Mtoto wa michael mapunda (nuhwahi) na berigna mapunda (kikoi).

Mara ya mwisho kaka zako wamekuona mwaka 1984
Ni mwenyeji wa RUVUMA- MBINGA kijiji cha MPAPA..Ni mmatengo
Aliolewa na Jamson mota (huenda jina sijaandika kwa usahihi) ambaye ni Askari magereza na alikuwa naye Songea kwa miaka ya 80's baada ya hapo walihamia Tanga.

Mpaka anatoka kwenda Tanga kaka zake waliwafahamu watoto wake wafuato
Richard mota, Matrida mota, Beligna, na charles.

Kaka zako GEROLD MAPUNDA, ORESTUS MAPUNDA, OWIN MAPUNDA wanakutafuta.

ILa kaka yako WILBERT MAPUNDA tumemzika 2004.

Wadogo zako Valeriana na Oresta wanakuhitaji pia

Sisi watoto wa kaka zako tunahitaji kujua ulipo.

KWA YEYOTE MWENYE KUIJUA FAMILIA HIYO ATUTAFUTE KWA
0625944024

TUSAIDIENI KUSAMBAZA TAARIFA HII KWENYE MITANDAO MINGINE YA KIJAMII.
Kazaliwa tuseme 1953 ni mtu mzima miaka 70 huyu bado ana nguvu na akili timamu, labda tu kama ana maradhi ya akili.
 
Haya mambo ya kutafutana tafutana yanakujaga na disappointments, unampata mtu alafu wala hana muda na wewe wala hata ile shauku ya kukufahamu.
Ni kweli,.. ila tunahitaji sana kujua hali ya Shangazi..
 
Haya mambo ya kutafutana tafutana yanakujaga na disappointments, unampata mtu alafu wala hana muda na wewe wala hata ile shauku ya kukufahamu.

Facebook imewafundisha watu, haya mambo ya kutafutana ni kuchorana tu, sasa hivi wote wamekimbia facebook
 
Haya mambo ya kutafutana tafutana yanakujaga na disappointments, unampata mtu alafu wala hana muda na wewe wala hata ile shauku ya kukufahamu.
Kuna ndg wengine wao ndiyo huwa hawataki ukaribu na ndg zao kutokana na madhira waliofanyiana huko nyuma,wanaamua kukata mawasiliano,Sasa Watoto wakikua ndiyo wanaanza kutafuta ndg zao!!
 
Back
Top Bottom