Msaada: Namtafuta Renata Mapunda

Msaada: Namtafuta Renata Mapunda

NUHWAHI

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
309
Reaction score
493
Habarini,

UKOO WETU UNASIKITIKA KUPOTEZANA NA SHANGAZI YETU
Anaitwa RENATA MAPUNDA.

Ni mzee kwa sasa ikiwa bado yu hai (1953au1954 KUZALIWA). NI Mtoto wa michael mapunda (nuhwahi) na berigna mapunda (kikoi).

Mara ya mwisho kaka zako wamekuona mwaka 1984
Ni mwenyeji wa RUVUMA- MBINGA kijiji cha MPAPA..Ni mmatengo
Aliolewa na Jamson mota (huenda jina sijaandika kwa usahihi) ambaye ni Askari magereza na alikuwa naye Songea kwa miaka ya 80's baada ya hapo walihamia Tanga.

Mpaka anatoka kwenda Tanga kaka zake waliwafahamu watoto wake wafuato
Richard mota, Matrida mota, Beligna, na charles.

Kaka zako GEROLD MAPUNDA, ORESTUS MAPUNDA, OWIN MAPUNDA wanakutafuta.

ILa kaka yako WILBERT MAPUNDA tumemzika 2004.

Wadogo zako Valeriana na Oresta wanakuhitaji pia

Sisi watoto wa kaka zako tunahitaji kujua ulipo.

KWA YEYOTE MWENYE KUIJUA FAMILIA HIYO ATUTAFUTE KWA
0625944024

TUSAIDIENI KUSAMBAZA TAARIFA HII KWENYE MITANDAO MINGINE YA KIJAMII.
- MREJESHO: Renata Mapunda amepatikana
 
Mambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.

Mi nimejaribu, nimempata uyo Matrida Motta.

1000119491.png

Hapo ni Facebook. Nikiangalia Friends wake, naona Charles na Richard Motta ni marafiki wake.

Niaamini kwa asilimia nyingi, uyo ndio unaentafuta mama yao. Anzia hapo.
 
Mambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.

Mi nimejaribu, nimempata uyo Matrida Motta.

View attachment 2733867

Hapo ni Facebook. Nikiangalia Friends wakw, naona Charles na Richard Motta ni marafiki wake.

Niaamini kwa asilimia nyingi, uyo ndio unaentafuta mama yao. Anzia hapo.
Thanks..ngoja nianzie hapo
 
Mambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.

Mi nimejaribu, nimempata uyo Matrida Motta.

View attachment 2733867

Hapo ni Facebook. Nikiangalia Friends wake, naona Charles na Richard Motta ni marafiki wake.

Niaamini kwa asilimia nyingi, uyo ndio unaentafuta mama yao. Anzia hapo.
Aisee uko vizuri sana
 
Asante..nimeanza na hao.. kila mmoja wao last activity mtandaoni ni 2018 mpaka 2020
Napambana kuwacheki marafiki zao
 
Kumntafuta mtu online ni kipaji mzee. Anzia contacts, mtumie meseji, kama yupo mbali wacheki watu wanaoonekana kumjua kupitia comments, waulize kwa nia njema, kujua angalia last activities zao, walipost mara ya mwisho lini, etc.

Ni process ila nenda mdogo mdogo.
Umetisha mkuu, hapa umesaidia wengi.
 
Mambo vipi? Mtandaoni ni rahisi kuwapata hao watoto wake Matrida, Charles, Richard etc.

Mi nimejaribu, nimempata uyo Matrida Motta.

View attachment 2733867

Hapo ni Facebook. Nikiangalia Friends wake, naona Charles na Richard Motta ni marafiki wake.

Niaamini kwa asilimia nyingi, uyo ndio unaentafuta mama yao. Anzia hapo.
Baada ya kuwaonesha baba zangu picha za hao watoto wamekili kwa 99% huenda wakawa ni hao... Ishu ni last activity zao ni miaka 5 ilopita... Na friends zao pia hawajawa active mtandaoni..ila ninapambana..
 
Back
Top Bottom