Msaada: Namtafuta Jane

Nenda facebook kwanza bwana mdgo .uki mkosa uko basi endelea na maisha yako tu
JF ina kazi gani ?

Naona kuna watu wanajua kazi ya Jamii Forums kuliko wanajamii wenyewe au intentions za Founders..., Anyway kila mtu ana haki ya kujibu chochote anachotaka ila morally sio busara kwa anayejibiwa kama hatapata msaada anaotaka..., Maana yangu ni kwamba huwezi kumkosa mtu Facebook alafu ukampata hapa ?
 
asaiv mileage itakua inakimbilia 40yrs,
anyway, nenda fb search kuna group la korogwe girls high school, anza kwa kuulizia aliemaliza mwaka husika(2002) form six, then malizana nae, akikataa au akileta longo longo, anza kwa kucheza na marafk zake fb, hata km anatumia nick name km unamfaham cheza na ID za kikee, ukimkosa kwa marafk zake, fungua profile za marafiki zake angalia about, ukiona background yake ya elimu naye inamuonesha ni member wa korogwe girls mwaka husika, naye anza kumpekua.
Hii utaweza km tuu umedhamilia.

Jitahd unielewe kwenye kucheza na hizo MARAFIKI hapo juu, sijakosea na hamna lugha fupi zaid ya hio,
 
Naelewa hali uliyonayo mkuu.. saa nyingine nafsi inawatafuta sana tuliopotezana nao myda mrefu.. nshaleta uzi humu wa niluowapoteza since 2010 na kila mwaka nawakumbuka sana ila sina namna tena..

Joyce Mringi.. Weruweru, Marangu TTC .

Jasmine wa Tabata Dar na Pasua Moshi..

God You Know All In Me.
 
Hmmmm! Miaka 18 bado unamtafuta tu? Kila la heri.

 
Asante sana mkuu kwa kunielewa. Be blessed!
 
Sawa mkuu. Asante sana kwa ushauri.
 
Wisdom at its best! Sensible people are still existing. Asante sana mkuu for such a great comment and advice as well. Barikiwa mno mkuu!
 
Kwa kuanzia nenda voda shop ya posta jiji DSM yupo mdada jina lake easter amesoma korogwe girl miaka hiyo kama anaweza kumfahamu
 
Umeshaoa?
 
Huyo hapo Jane wako
 
maisha yako very enteresting, kuna umri ukifika unakumbuka mambo mengi sana yaliyopita, halafu unabaki kuumia rohoni tu, najua unayoyapitia, jitahidi kumsahau mkuu
 
Niliwahi ingia FB groups nilizozihisi kuwasiliana na wasomi wenza wa niliyekuwa namtafuta. Kila mmoja ananiambia "Tulia na Mkeo, Lea Familia".

Ikabidi niahirishe tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…