Shamsa Hussein
Member
- Sep 21, 2018
- 15
- 24
Kifungu gani?@ MithaHicho kifungu cha mwisho sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hilo angalizo lako la namba lina kamkwara fulani hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kifungu gani?@ Mitha
Mama Yako Mzazi Hajakueleza Kwa Kina Kuhusu Baba Bila Shaka Utampata Tu
Hayupo tayari kuniweka wazi kuhusu hili swala sasa sielewi ni kwann ndo nimefikia maamuzi haya ya kuomba msaada wa taarifa kuhusu yeyeMama Yako Mzazi Hajakueleza Kwa Kina Kuhusu Baba Bila Shaka Utampata Tu
hapana mkwara kuna kuna muda mtu anaweza fanya jokes while nipo serious kwenye hili kaka@MithaHilo angalizo lako la namba lina kamkwara fulani hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayupo tayari kuniweka wazi kuhusu hili swala sasa sielewi ni kwann ndo nimefikia maamuzi haya ya kuomba msaada wa taarifa kuhusu yeye
kuna muda nahisi kuna kitu nafichwa kitu sasa ni mtu mzima nahitaji kufahamu ukweli ambao najua siwezi upata kwa mama zangu maana ni kipindi kirefu nimekuwa nikiungoja na kuutafutaNdugu Wengine Wa Mama Nao Hawajui Lolote
Ama Vp
Mimi pia sijajua pia hiyo taarifa ya majina yake hakuwahi kunipa mama yangu ni udadisi wangu tu mimi mwenyewepamoja angalizo kwenye aya ya mwisho kupitia namba hizo unaweza pata mume,yote kwa yote iweje mama yako hasijue jina la baba yako kamili ilikuwaje?
Tafuta marafiki zake Mama yako na ndugu zake wakiumeHayupo tayari kuniweka wazi kuhusu hili swala sasa sielewi ni kwann ndo nimefikia maamuzi haya ya kuomba msaada wa taarifa kuhusu yeye
Njoo na ID yako ya zamani maana umeandika kama mwenyeji wakati umejiunga leo...Terehe 21 Sept 2018.Habari wanajamii forum? Kwa jina naitwa Shamsa,namtafuta baba yangu mzazi ambaye tulipotezana miaka 23 iliyopita sikuwahi bahatika kumfahamu wala kuikariri sure yake sababu aliondoka ningali bado mdogo sana.
Kwa taarifa nilizozipata juu juu baba huyo alikuwa akifahamika kwa jina la "Abbas Sendeu" ingawa bado sina uhakika sana kuhusiana na hilo jina la Sendeu ila kiasili alikuwa ni mtu kutoka Tanga japokuwa sikubahatika kujua kabila lake kabisa,, walikutana na mama yangu ambaye anaitwa Salama ambaye pia aliwahi kusoma chuo cha biashara cha Shinyanga na katika historia yao fupi waliwahi kuishi Mwanza na Arusha kabla ya kutengana na mama yangu kuhamia Dodoma ambapo ndio makazi yetu mpaka sasa.
Tafadhali! popote upatapo ujumbe huu naomba usiache kunitafuta baba yangu maana natamani kuijua true identity yangu....pia ombi langu kwa wanajamii forum, yoyote mwenye taarifa inayoweza kunisaidia kupatikana kwake na inayoshabiihana ama kurandana na majina au historia tajwa hapo naomba asisite kunifahamisha kwa namba zifuatazo...0754638458 na 0756289602.
Mwisho naomba kutoa angalizo au tahadhali naomba namba zilizo wekwa hapo juu zitumike kwa ajili ya matumizi yaliyotajwa hapo juu.