Msaada namna ya kuwe host record ya domain

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
741
Reaction score
563
Habari wakuu humu ndani
Hivi kalbuni nilifanya manunuzi ya domain kwenye kampuni ya pananames.com
Nikafanikiwa kufanya hiyo transaction kupitia paypal lakini sasa nilipotaka kupark hiyo domain kwenye blog ni kachukua zile detail zinazo hitajika kuweka kwenye host lakini nilivyo weka mbo yakawa bado magumu

Nikajslibu kutumia IP lakini bado ikazngua
Naombeni msada wakuu
Natanguliza shukrani kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…