Msaada: Namna ya kutumia internet bure

sio lazima ukeshe, jiunge kifurushi cha usiku panga downloads zako zote torrent au kama ni idm eka queue ikifika saa 6 ianze kudownload. connect modem halafu lala ukiamka asubuhi zimemaliza. mchana unakuwa unaperuzi tu.
nimekupata mkuu ila vifaa vyetu sio bora kihivo kwan bila kuisimamia dowload ukiamka unakuta imefafail. hivo vitu vingine kama queque sivijui kwa kwel
 
ni pm nikupe maujanja

Hayo maujanja kaa nayo tu maana mkipeana huko PM hayatokuwa maujanja tena,
Wahusika wakistuka
hata wewe utaanza kuhangaika maana Mb 1 itakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ