God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,786
- 3,068
Pia nadhani kati ya voda au tigo kuna mmoja mwenye kutoa offer ya bure kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 2 asubuhi.
tigo mpaka saa 3 asubuhi kuanzia saa 12
hakuna Internet ya bure Tigo kuna sh.300 kupiga Tigo na kutuma SMS
habar za mchana wakuu. Naomba mwenye msaada anifundishe namna ya kutumia internet bila malipo nataman sana maana hali ni ngumun kwa kweli.
Nimepitia thread zilizopita lakin sijafanikiwa.
Natanguliza shukran
Pia nadhani kati ya voda au tigo kuna mmoja mwenye kutoa offer ya bure kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 2 asubuhi.
Kanikumbusha miaka ya 2007's kunalafiki yangu alibahatika kununua line ya tigo mpya hajaweka hata thumni ile laini sijui ilikosewa system aisee noma naona ilikuwa zaidi ya unlimited tulipiga mzigo karibia wa gb 10000 enzi zile zilikuwa zile nokia za bati harafu sijui g au 2g.
nina lain ya tigo ambayo natmiaga sms bure na intanet bure huu ni mwaka wa pili wapendwa
umenitisha mkuu eti toka kaleinawezekana toka kale njia moja wapo ni hiii
ok nimekupata ila mkuu umenikumb usha sulen toka 2012 nlikua najiachia na internet ya bure kwanzia sa 6 had sa 12 yan nlikua silali sema limeshafutwa na hamna tena cha buretumia vifurushi vya usiku, bei rahisi tu
ok nimekupata ila mkuu umenikumb usha sulen toka 2012 nlikua najiachia na internet ya bure kwanzia sa 6 had sa 12 yan nlikua silali sema limeshafutwa na hamna tena cha bure