msaada: namna ya kutengeneza web-site(tovuti)

TONY MTAKAYOTE

Senior Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
150
Reaction score
69
Namna ya kutengeneza website ni mtihani kwangu. Kwa anayejua naomba anielekeze. Karibuni waelekezaji....
 
Hakuna shortcut lazima uisome. Kwa kuanzia unapaswa:
  1. Ujue page layout (Markup) ambayo inafanywa na HTML
  2. Lazima ujue kuweka Client Specific effects and pia interaction na data ktk server (Web 2.0). Hii inakuhitaji ujue Javascript
  3. Unahitaji ku process requests zote na pengine kuhifadhi data katika server yako. Hapa unahitaji SSL kama PHP, ASP, JSP et al
  4. Kwa ziada unahitaji kupendezesha web yako na styling, inafanywa na CSS

Kwa hiyo lazima kwa uchache ujifunze hayo. Kuna resources nying sana kama w3schools na the like, google itakusaidia.
Ila huwa nakusanya materials kwa beginners unaweza kupitia hapa na kuona kama yatakusaidia.
 

ahsante sana...
 
Unataka kutengeneza inayohusu nini? naweza kukuazima software yangu ni rahisi sana kuitumia, upo wapi?. Jibu kwanza itahusu nini hiyo web yako.


Namna ya kutengeneza website ni mtihani kwangu. Kwa anayejua naomba anielekeze. Karibuni waelekezaji....
 
nahitaji MTU wa kunisaidia kutengenrza website ya kanisa
 
nahitaji MTU wa kunisaidia kutengenrza website ya kanisa

sasa webiste ya kanisa hiyo si official kabisa na Kanisa kama kanisa institution kubwa hamuezi kosa hela ya kutengeneza website sasa sijui unaposema unataka mtu akusaidie ni FREE au unatangaza dau
emu check Moderator wetu wa hili jukwaa C6 ni webmaster atakusaidi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…