Habari wanajamvi!!! Nawezaje kupata wwbsite au blog ambayo itawezesha kudownload video na audio,pia kuwezesha malipo kwa kila anayedownload? Msaada tafadhali
Ni nyimbo,ambazo ni video na audio na cyo km naiba bali naingia mkataba na wasaniiKama ni nyimbo usijaribu Utapoteza Pesa zako bure na utaishia Jera kwa kuuza kazi za wasanii cha kukusaidia tengeneza website ya nyimbo ya kawaida mtu anakuwa ana download free ila wewe unakuwa na matangazo ambayo yatakulipa,
0743497079 << TUWASILIANE NIKUFANYIE KAZI
Mkuu unahitaji kuwa na Mtaji Usiopungua Milioni 10 kuanzia kutengeneza website hadi promoting Mbali na Hapo Ukiwa na Vilaki Utatengeneza Hizi za Kawaida kingine hili kupata System ya Malipo LAZIMA uwe na Leseni ya Biashara, kwanini Tanzania Website kama hizo ziko 3 Tu Tanzania, Mkito, Wasafi na Mzikii JIULIZE KWANZA, Hii inamaana Hii Kitu ni Kubwa na Kwamujibu wa Wasafi.com Kwa matengenezo yenyewe IMECHUKUA Milioni 20, Kama Unahuo Mtaji Basi Nenda KatengenezeNi nyimbo,ambazo ni video na audio na cyo km naiba bali naingia mkataba na wasanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu kwa ufafanuziMkuu unahitaji kuwa na Mtaji Usiopungua Milioni 10 kuanzia kutengeneza website hadi promoting Mbali na Hapo Ukiwa na Vilaki Utatengeneza Hizi za Kawaida kingine hili kupata System ya Malipo LAZIMA uwe na Leseni ya Biashara, kwanini Tanzania Website kama hizo ziko 3 Tu Tanzania, Mkito, Wasafi na Mzikii JIULIZE KWANZA, Hii inamaana Hii Kitu ni Kubwa na Kwamujibu wa Wasafi.com Kwa matengenezo yenyewe IMECHUKUA Milioni 20, Kama Unahuo Mtaji Basi Nenda Katengeneze
hahaha mil 20 unajua unachokiongea wew nin cha zaid kipo pale???Mkuu unahitaji kuwa na Mtaji Usiopungua Milioni 10 kuanzia kutengeneza website hadi promoting Mbali na Hapo Ukiwa na Vilaki Utatengeneza Hizi za Kawaida kingine hili kupata System ya Malipo LAZIMA uwe na Leseni ya Biashara, kwanini Tanzania Website kama hizo ziko 3 Tu Tanzania, Mkito, Wasafi na Mzikii JIULIZE KWANZA, Hii inamaana Hii Kitu ni Kubwa na Kwamujibu wa Wasafi.com Kwa matengenezo yenyewe IMECHUKUA Milioni 20, Kama Unahuo Mtaji Basi Nenda Katengeneze
wewe unaweza ona ni simple tu kwa vile unaingia na ku-download, hiyo sio website ya kawaida ni kubwa hile na kutengeneza kitu kama hicho kama mtu yuko free ni wiki mwili na zaidihahaha mil 20 unajua unachokiongea wew nin cha zaid kipo pale???
Kama ni nyimbo usijaribu Utapoteza Pesa zako bure na utaishia Jera kwa kuuza kazi za wasanii cha kukusaidia tengeneza website ya nyimbo ya kawaida mtu anakuwa ana download free ila wewe unakuwa na matangazo ambayo yatakulipa,
0743497079 << TUWASILIANE NIKUFANYIE KAZI
Sio Kila Msanii Anauza na Hata Duniani Msanii kumshitaki Blogger ni Ngumu Sana Maana Anajua Ndio Wanamtangaza, Hapa Tanzania Ije Itokee Hiyo Huone Mgomo wa Blogger Alafu Msanii Atoe Nyimbohata hiyo utaishia jela kama mwenye wimbo akiamua kukushtaki kwa kosa la kusambaza kazi yake free bila makubaliano wakati yeye anaiuza kwenye verified networks.
sometimesMkuu unahitaji kuwa na Mtaji Usiopungua Milioni 10 kuanzia kutengeneza website hadi promoting Mbali na Hapo Ukiwa na Vilaki Utatengeneza Hizi za Kawaida kingine hili kupata System ya Malipo LAZIMA uwe na Leseni ya Biashara, kwanini Tanzania Website kama hizo ziko 3 Tu Tanzania, Mkito, Wasafi na Mzikii JIULIZE KWANZA, Hii inamaana Hii Kitu ni Kubwa na Kwamujibu wa Wasafi.com Kwa matengenezo yenyewe IMECHUKUA Milioni 20, Kama Unahuo Mtaji Basi Nenda Katengeneze
Daaaaah,Mkuuu umenitia moyo kwa kiasi kikubwa saaana!!!! Maaana nilishaanza kuona mpango wangu unabumasometimes
wale watu walio endelea sana, hua hawataki competitors, xo wanatumia io ktu kuwatisha wengine,
kama mkuu ume dhumunia kupiga io kitu,
anza mdogo mdogo, don ever giveup, hakuna success zinazo kuja kiurahisi rahisi,
ata kwa waganga nako kugumu....
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha sawa sawa mkuu sibishan na wewwewe unaweza ona ni simple tu kwa vile unaingia na ku-download, hiyo sio website ya kawaida ni kubwa hile na kutengeneza kitu kama hicho kama mtu yuko free ni wiki mwili na zaidi
Zaidi ya wiki mbili hata 6 months kitu kikianza kuinvolve pesa hapo ndo makirikiri yanaanzawewe unaweza ona ni simple tu kwa vile unaingia na ku-download, hiyo sio website ya kawaida ni kubwa hile na kutengeneza kitu kama hicho kama mtu yuko free ni wiki mwili na zaidi
Sure mkuu usi giVeup kama unaona una nia ya dhati katika ilo swalaDaaaaah,Mkuuu umenitia moyo kwa kiasi kikubwa saaana!!!! Maaana nilishaanza kuona mpango wangu unabuma
Sent using Jamii Forums mobile app