Asante sana!Na wana elekronic viza kama umejipanga vizuri viza yako unaikuta kwa immigration desk airport ukituwa Sydney.
Dear Jf members, poleni na majukumu. Tafadhali, naomba msaada namna ya kupata visa ya Australia. Nasikia hapa nchini hamna ubalozi na visa ni mpaka Afrika Kusini. Tafadhali yeyote anayefahamu anisaidi. Utaratibu unakuaje? Asanteni.
Mkuu una connection yoyote ya visa za OZ,maana ya Uk imekua tight kidogo.Visa zinatoka Pretoria but unaeza process pale Kenya, otherwise karibu sana OZ
Njoo nikuuzie ya schengen Kama utapendaMkuu una connection yoyote ya visa za OZ,maana ya Uk imekua tight kidogo.
Mkuu una connection yoyote ya visa za OZ,maana ya Uk imekua tight kidogo.
Unataka kwenda Australia kufanya nini? Je unaelewa lolote kuhusu Australia?Msaada visa ya Australia, maelezo zaidi,na unahitaji nini kuipata?
nauelewa mdogo,nahitaji bank statement ya 6month, pasport na visa,na reason ni nataka kuendeleza talent yangu ya acting na dancing ili badae niingie Hollywood hivyo naanzia Australia 🇦🇺,hivyo kama kunaalie enda aniambie challenges according to experience.Unataka kwenda Australia kufanya nini? Je unaelewa lolote kuhusu Australia?