Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Kwanza natanguliza shukrani, kuna rafiki yangu ametuma barau kwa njia ya posta ila amesahau anuani yani ameikosea kuandika je atapataje barua yake
kamtumia mtu kakaDuhh, kajitumia mwenyewe hiyo barua ama?