MSAADA NAMNA YA KUPANDISHA WEBSCRIPT YA PHP KWENYE HOSTING ACC

Msukule Msafi

Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
55
Reaction score
48
wakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
 
Kuwa mvumilivu msukule msafi. Wadau watakuja wakusaidie

sent using [emoji85]
 
wakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
Kwanza ushalipia hosting space?
Pili ushalipia Domain ?

Kama hivyo vyote tayari maelekezo ni rahisi unalog in kwenye cpanel account yako then kuna kitu kinaitwa file manager ndani ayake kuna folder linaitwa root hapo ndio uta upload pages and files za system yako hakikisha tu kuna index file

Kama bado hujalipia hosting na domain mimi nafanya kazi hyo karibu nikuuzie kwa bei nafuu mfano www.msukulemsafi.com

Au kama unataka za free zipo nyingi online ingawa zitakua na domain yao sio ya kwako mfano www.msukulemsafi.000webhosting.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
Kama umelipia domain na hosting plan, tumia FPT client softwares kama Filezilla ku_upload site yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenye muda naomba anisort nione hata ikiwa kwa free hosting then nitalipia baada ya kuona output nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…