TEACHER FRANK MSIGWA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 537
- 445
Wakuu naombeni msaada namna ya kuomba transfer. Ni procedures zipi inatakiwa nifuate? Kuhusu kigezo cha kujua kama chuo bado kina nafasi, je inatakiwa niende direct chuoni kuulizia kama kuna nafasi?
Msaada wenu wakuu!
Msaada wenu wakuu!