Naombni msaada wa namna ya kulipia huduma mbalimbali kwa kutumia VISA CARD ya benki ya crdb kwa njia ya internet..Nimejaribu kuna taarifa kama CSC(card security Code) inapatikana wapi.
Thank you Mr.hiyo nilijaribu ku-google nikaipata,ikaja tatizo jingine ambalo nime-google sijapata jibu may be unaweza fahamu na kunisaidia.nilipokuwa nataka kufanya payment message ya paypal inani-alert hivi
"We were unable to verify this credit card. Please check if the information you entered is correct. Please also make sure your credit card billing address matches your PayPal street address."
NIMESHINDWA KUELEWA HIZO "CREDIT CARD BILLING ADDRESS NA PAYPAL STREET ADDRESS " NIMEHANGAIKA NAYO SANA KARIBIA USIKU MZIMA.....MSAADA
Paypal lazima uwe na account yake ili kuitumia kulipia vitu. Address utakayo weka Paypal lazima iendane na address iliopo kwenye credit card account yako. Kwa ufupi address uliyowapa Bank iliyokupa hiyo credit card.