Msaada: Namna ya kujitoa Simu Tv kwenye simu yangu

Msaada: Namna ya kujitoa Simu Tv kwenye simu yangu

matubara

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
226
Reaction score
90
Wadau naomba mwenye kujua namna ya kujitoa simu tv kwenywe android yangu kwani siitumii na inakata tu hela yangu kila siku.
 
ulidhani simu ingekuwa tv? nijibu kwanza ili nikuelekeze kujitoa
 
Usiongeze Salio au weka line nyingine hiyo hamishia kwenye simu ya tochi.
 
Back
Top Bottom