Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,832 Sep 13, 2013 #1 Salam kwenu wakuu..msaada nifanyeje au niwe na vifaa gani ili niweze kuiprint cd?....Yaan chochote kilichoprintiwa katika kava la nje kionekane juu ya mgongo wa Cd...Tafadhar wakuu! mazima.
Salam kwenu wakuu..msaada nifanyeje au niwe na vifaa gani ili niweze kuiprint cd?....Yaan chochote kilichoprintiwa katika kava la nje kionekane juu ya mgongo wa Cd...Tafadhar wakuu! mazima.
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Sep 13, 2013 #2 zipo printa maalumu za kuprint CD... gooogle utaziona. Pia unaweza kutumia DVD-ROM yako kama printer kama ina-support LightScribe
zipo printa maalumu za kuprint CD... gooogle utaziona. Pia unaweza kutumia DVD-ROM yako kama printer kama ina-support LightScribe