Msaada: Namna ya kuingiza picha katika avatar.

Msaada: Namna ya kuingiza picha katika avatar.

WANKIE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
987
Reaction score
323
Habari za asubuhi wakuu!Kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuingiza picha katika kijiboksi cha avatar, naomba anielekeze.
 
Fuatisha maelekezo kwenye picha hapo chini.

HATUA YA 1

attachment.php






HATUA YA 2
attachment.php









HATUA YA 3
Utatakiwa uwe na picha yako tayari kwenye pc yako
attachment.php
 

Attachments

  • Moja.png
    Moja.png
    11.8 KB · Views: 524
  • MBILI.png
    MBILI.png
    10.2 KB · Views: 503
  • TATU.png
    TATU.png
    11.4 KB · Views: 504
Ni rahisi sana nadhani utakua unatumia jamiiforums mobile software ndio maana unapata tabu, sasa nenda kwenye browser unayotumia kusearch vitu tafuta jamiiforums alafu log in then nendha sehemu ya kuseti pictute hapo utajua tu ukifika
 
Back
Top Bottom