Msaada: namna ya kufuta (uninstall) program katika Computer

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
nilikuwa nataka kufuta programu lakini computer isitambue tena hata kama nikitaka kuinstall tena hiyo program niliyoweka mwanzo.
Asanteni nahitaji msaada wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…