Hakuna usumbufu ni full lami..Thank u u, vip hk kipind cha mvua hakina usumbufu kwenda huko?
Kwani Mimi nilikutaja ?Ulitajwa jina kwamba lazma ukoment ama? Kaja..mbe mbele.
Zipo ila ni chache sana , panda za kyela ukifika huko utapata za matema!Napanda magar ya kyela au yapo ya matema moja kwa moja?
Ndiyo mkuu jiografia ilikupita kando haujui kama mkoa wa Mbeya unapakana na Ziwa NyansaMbeya kuna beach???!!!!Aisee nilikuwa sijui
Elfi 60 [emoji56] [emoji134] [emoji26]Nauli 6000/=tsh kutoka mbeya mjini hadi huko.
Guest house kuanzia 10000 /=tsh +