Msaada .Namna ya kuficha Apps kwenye screen ya simu .

samsung baadhi unaficha, launcher inayokuja na simu inakubali,

alternative download nova launcher,
 
Haaaa haaa Jamaa anataka ku hide badoo, wife keshamshtukia haa haaaa, mie kaka sumsung nikibonyeza apps thn kwa juu kuna optn ya ku hide, mie hata notification zote ziko off si whatsap gb wala kawaida, hadi za insta, facebook, hukut kitu kiki pop up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unatumia samsung nenda kwny screen yko bonyeza upande wa kushoto kule kwny vimatari vi3 utaona option ya hide apps

G.O.M.D
 
Pole sana mkuu, umekuwa Mtumwa wa Mali yako, ukiwa muwazi kwenye mapenzi unakuwa huru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishaachana na huo utumwa mkuu maana unakuwa na presha kila saa, yaan magomjwa mengine tunajitafutia wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa Mkuu, Mimi binafsu make wangu anashinda na simu yangu nami pia vivyo hivyo, japo sipendi sana kupekua pekua simu ya wife ila kiufupi wore tumekutana ambao simu hazitupi shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…