Salam wakuu, Kwa sale movie addicts wenzangu ukiachana na zile sites zetu pendwa kama vile fzmoviez, hdmp4mania etc. Nimeipata hii hapa katika kuperuziperuzi kwangu. Naona hawako vibaya na mostly movies zao ziko converted into .mkv format na zinakua around 180MBs-200MBs na quality iko POA...