msaada:namna ya kuboot PS2 kwa kutumia flash disk

msaada:namna ya kuboot PS2 kwa kutumia flash disk

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
habari wadauNatumia game ya ps2,kwa muda nimekuwa nikitumia cd kucheza game,lakini iliposumbua kuna mtu akanipa flash yenye game ya mpira,ambayo nimeitumia kama miezi mitatu nayo imeleta tatizo.Tatizo ni kwamba lens haisomi kabisa cd, cd natumia kwa ajili ya kuboot flash disk ambayo ndani yake kuna game.Ombi langu kwenu naomba mnisaidie namna ya kutumia flash disk pekee bila kutumia cd bootable,yaani kama kuna utaalamuwa kutumia flash tu bila ya cd,kwani lens imekufa na huwa inasumbua sana hata ukibadilisha.Pls naombeni msaada wenu kwa hili
 
Freemcboot ndo solution yke unakopi kwny memory card kutoka kwa mtu ambaye anatumia hyo freemcboot then unacheza games na flash bila cd.. mi bado naangaika nayo.. Vp unatumia program gani kwny cd kucheza games na flash?
 
Back
Top Bottom