Habari za majukumu kaka na dada zangu hapa jf. Samahani ninataka kubadiri gmail account kwenye play store ya simu yangu lakini nashindwa. Natumia samsung galaxy grand prime pro. Naombeni mnieleweshe. Natanguliza shukrani kwenu
Nenda kwenye settings za simu yako tafuta sehemu imeandikwa add account>add Google account.
Ukifanikiwa nenda kwenye play store utaikuta then utaweza sasa kuchage.
Huwezi kuweka Google account nyingine directly mpaka utumie hiyo njia hapo juu.